Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
habari wanaJF,nina kampuni inayodili na biashara ya vyakula na nyinginezo,natafuta tenda ya kusambaza vyakula,popote hapa TZ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyakula vya aina gani? mifugo, vilivyopikwa, elezea vizuri mdau maelezo yako yako too short ili hata wenye uhitaji waweze kuelewa una supply vyakula vya aina gani na uwezo wako ni upi.habari wanaJF,nina kampuni inayodili na biashara ya vyakula na nyinginezo,natafuta tenda ya kusambaza vyakula,popote hapa TZ.