Natafuta tender ya kusupply beef na local vegetable& fruits

Natafuta tender ya kusupply beef na local vegetable& fruits

Abbitto

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
547
Reaction score
747
Habarini kinandugu,Mimi ni mwanamama aged 33 Niko dar,Niko na dip ya procurement& supply.Natafuta tender ya kusupply beef fillet,steak,Nundu na Samaki sato,sangara local vegetables na fruits kwenye mahoteli,migahawa na hata watu binafsi.Tayari ninafanya hizi biashara nataka nikuze kipato.maswali uliza hapahapa Kwa faida ya wengine.Natanguliza shukrani zangu za dhati


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiangalie mahoteli makubwa tu, mama ntilie ni wanunuzi wazuri ukipata wa tano wa kilo tano kila siku ni biashara nzuri.
Nimesema fillet,Nundu na steak hao mama Ntilie wanachukuaga Nyama ya kawaida ambayo faida yake ni kidogo labda nimpate mmoja au wawili wanaochukua nyingi maana hapo kuna garama ya usafir


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi umesajili Biashara yako?? Maana wafanya biashara wanafanya biashara na wafanya biashara. Hivyo ni vizuri kama umesajiliwa na unalipa kodi. Pia kama umesajiliwa na GPSPA basi utapata nafasi zaidi ya tenda za Serikali
 
Mkuu,
Biashara ni kupambana. Nikutie moyo kila biashara ama wazo la biashara ni faida. Cha msingi ni kupambana bila kucboka kumbuka wapo walio waza kama wewe, wapo walio kamata tenda tayari lkn wewe unawe ingia na kufanya vzr zaidi.

Kila la kheri,


Pia naweza kukusaidia kwa mambo kadhaa hapo chini, usisite kututafuta

HUENDA WAHITAJI...
* Kusajili kampuni
* Annual Retur - Brela
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
BEI ZETU HAZINA USHINDANI, MIKOANI PIA TUNAHUDUMIA

Ushauri ni Bure...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zote hazina mfupa ila steak ni ngumu wakati fillet ni laini sana,kama ulishakula mishkaki ya mtaani ya mia tano halafu ukala ya kwenye restaurant ama lounge kama pale mafian lounge au samakisamaki bila shaka umeona tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekueleza kitaalam zaid lakn kama hujui kutofautisha hiyo ndiyo tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi umesajili Biashara yako?? Maana wafanya biashara wanafanya biashara na wafanya biashara. Hivyo ni vizuri kama umesajiliwa na unalipa kodi. Pia kama umesajiliwa na GPSPA basi utapata nafasi zaidi ya tenda za Serikali
Yap nimesajili nalipa kodi sijajiunga na iyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom