Abbitto
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 547
- 747
- Thread starter
- #21
Unajisalije naomba unielekezeGPSA ni muhimu sana kama unataka tender za Serikali/ Umma
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajisalije naomba unielekezeGPSA ni muhimu sana kama unataka tender za Serikali/ Umma
Lkn serikali awamu hii hawasumbui au inategemea na wizara,maana kuna kipindi nililimaga mahindi mkoani serikali wakayanunua looh ilipita mwaka ndio tukaja kupata hela yaan
Mi ni sole prop na pia nimesoma procure so vingi navijua asanteMkuu,
Biashara ni kupambana. Nikutie moyo kila biashara ama wazo la biashara ni faida. Cha msingi ni kupambana bila kucboka kumbuka wapo walio waza kama wewe, wapo walio kamata tenda tayari lkn wewe unawe ingia na kufanya vzr zaidi.
Kila la kheri,
Pia naweza kukusaidia kwa mambo kadhaa hapo chini, usisite kututafuta
HUENDA WAHITAJI...
* Kusajili kampuni
* Annual Retur - Brela
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
BEI ZETU HAZINA USHINDANI, MIKOANI PIA TUNAHUDUMIA
Ushauri ni Bure...
Sent using Jamii Forums mobile app
Madam unaonekana unauzoefu mkubwa sana. Nachoona kinamiss kwako nikwamba huna Convising power au Lobbing skills.
Jikite huko sana, mie mama mdogo alipindua tender ya kusupply mayai hivi hivi naona kwenye hoteli kama 3 na alitumia mdomo, karatasi na Peni.
All the best...