Nimewahi Fanya kazi Kwa hotel industry,sio rahis kama unavyofikiri yani pricelist nyingi huwa zinawekwa pembeni labda kama nakuwa namjua huyo procurement officerHongera sana sana manengelo
Watu tuko serious we unawaza kunitembeleaHongera sana sana, aione Mkurugenzi Mtendaji manengelo
Njoo tafadhali tumpongeze huyu dada ikiwezekana tumtembelee
Nimesema fillet,Nundu na steak hao mama Ntilie wanachukuaga Nyama ya kawaida ambayo faida yake ni kidogo labda nimpate mmoja au wawili wanaochukua nyingi maana hapo kuna garama ya usafirUsiangalie mahoteli makubwa tu, mama ntilie ni wanunuzi wazuri ukipata wa tano wa kilo tano kila siku ni biashara nzuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tofauti ya Fillet na Steak ni nn??Nimesema fillet,Nundu na steak hao mama Ntilie wanachukuaga Nyama ya kawaida ambayo faida yake ni kidogo labda nimpate mmoja au wawili wanaochukua nyingi maana hapo kuna garama ya usafir
Sent using Jamii Forums mobile app
haaahaa....usijali.mamy hana sumu..alinikwoti as amewah nipa hii idea pia
Kuna soko hapa ila inabidi uliangalie vizuri.Usipishane na helaNimesema fillet,Nundu na steak hao mama Ntilie wanachukuaga Nyama ya kawaida ambayo faida yake ni kidogo labda nimpate mmoja au wawili wanaochukua nyingi maana hapo kuna garama ya usafir
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote hazina mfupa ila steak ni ngumu wakati fillet ni laini sana,kama ulishakula mishkaki ya mtaani ya mia tano halafu ukala ya kwenye restaurant ama lounge kama pale mafian lounge au samakisamaki bila shaka umeona tofautiTofauti ya Fillet na Steak ni nn??
Ningekueleza kitaalam zaid lakn kama hujui kutofautisha hiyo ndiyo tofautiZote hazina mfupa ila steak ni ngumu wakati fillet ni laini sana,kama ulishakula mishkaki ya mtaani ya mia tano halafu ukala ya kwenye restaurant ama lounge kama pale mafian lounge au samakisamaki bila shaka umeona tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap nimesajili nalipa kodi sijajiunga na iyoVipi umesajili Biashara yako?? Maana wafanya biashara wanafanya biashara na wafanya biashara. Hivyo ni vizuri kama umesajiliwa na unalipa kodi. Pia kama umesajiliwa na GPSPA basi utapata nafasi zaidi ya tenda za Serikali
GPSA ni muhimu sana kama unataka tender za Serikali/ Umma