Natafuta thamani za ofisi za mninga

Natafuta thamani za ofisi za mninga

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Wapendwa,

Nimejaribu kupita sehemu nyingi hapa Dar ili nipate thamani za ofisi ready made ambazo zimetengenezwa kwa mbao za hapa nyumbani, Mninga, Mvule, Mkongo nk.

Sijaona sehemu ambayo kuna thamani makini kwa ajili ya modern Office, shida ya watengenezaji wengi ni style ya umaliziaji wa thamani hizo, nyingi huonekana hazina mvuto sana tofauti na zile zinazotoka Malysia nk nk.

Anyone with idea

unahitaji samani gani na gani nikuletee ,zilizotengenezwa kwa mtondoo,mkongo na manangu,.hata za mninga zipo ila siwezi gurentee kupatikana kwa haraka. ni pm au nitumie email: zansususolution@gamil.com.

ninazo mimi
 
Nenda KEKO zipo.

JKT wanazo

Magereza wanazo
 
Mi ntakusaidia upatikanaj wa mbao hizo za asili na zenye ubora wa hali ya juu ntafute kwa namba hii 0758728258,kazi nzur ni kuisamia mwenyewe ndugu!mafund juu yako
 
Wapendwa,

Nimejaribu kupita sehemu nyingi hapa Dar ili nipate thamani za ofisi ready made ambazo zimetengenezwa kwa mbao za hapa nyumbani, Mninga, Mvule, Mkongo nk.

Sijaona sehemu ambayo kuna thamani makini kwa ajili ya modern Office, shida ya watengenezaji wengi ni style ya umaliziaji wa thamani hizo, nyingi huonekana hazina mvuto sana tofauti na zile zinazotoka Malysia nk nk.

Anyone with idea

Thamani ya hizo mbao ni kubwa sana ila kama unataka samani zilizotengenezwa kwa hizo mbao nenda JKT utapata.
 
Back
Top Bottom