Natafuta tiba mbadala (herbal) ya prostrate

KALABASH

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
498
Reaction score
210
natafuta tiba mbadala au dawa asilia iliyotafitiwa ya BHP kwa mtu yuko kijijini. Kwa sasa hivi anatumia urimax lakini zinakuwa nzito kwake. Nimeona ndugu moja akielezea dawa fulani katika kipindi cha NANE NANE lakini sikumpata sawasawa.
 
check na wamasai

Hujaeleweka...dawa kutibu BPH (kuzuia isiendelee kuvimba? iliyovimba inywee? au kinga inazuia isivimbe kabisa?). Sijawahi kuisikia hiyo dawa ya asili. mpeleke tu ndugu yako hospitali wamchunguze, kama atahitaji upasuaji basi msaidie afanyiwe, msisubiri mpaka siku mkojo umebana muanze kukimbizana. Huwa wanateseka kweli, nishaona watu wazima weengi sana waliobanwa wanalia kama watoto, na wengi wao waliniamkia (ha ha haa) baada ya kuwasaidia kuwekwa mpira wakati mi sikuwa hata na nusu ya umri wao!
 
Ukienda pale Ocean Road mtafute Dr. Luande. Alikuwa anafanya tafiti za dawa hizo. Au nenda pale NIMRI muulizie Malebo, anajua dawa zilizotafitiwa zote. Kuanzia za kuongeza nguvu za kiume (safi sana) mpaka za pumu.
 
Hujaeleweka...dawa kutibu BPH (kuzuia isiendelee kuvimba? iliyovimba inywee? au kinga inazuia isivimbe kabisa?). Sijawahi kuisikia hiyo dawa ya asili. mpeleke tu ndugu yako hospitali wamchunguze, kama atahitaji upasuaji basi msaidie afanyiwe, msisubiri mpaka siku mkojo umebana muanze kukimbizana. Huwa wanateseka kweli, nishaona watu wazima weengi sana waliobanwa wanalia kama watoto, na wengi wao waliniamkia (ha ha haa) baada ya kuwasaidia kuwekwa mpira wakati mi sikuwa hata na nusu ya umri wao!
<br />
<br />
Riwa. asante. Nilifuatilia comments kuhusu thread yangu kwa wiki moja hukuonekana nikaacha kabisa kufuatilia. Huyu amekwisha kuwa diagnised na BPH. Kinachotakiwa ni kuzuia isiendelee kuvimba na inywee. Nilimpelekea urima Urimax tablets ni kali kwake. Wanaseme herbal therapy ni bora zaidi. Una ushauri gani?
 
Back
Top Bottom