Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natafuta tiba mbadala au dawa asilia iliyotafitiwa ya BHP kwa mtu yuko kijijini. Kwa sasa hivi anatumia urimax lakini zinakuwa nzito kwake. Nimeona ndugu moja akielezea dawa fulani katika kipindi cha NANE NANE lakini sikumpata sawasawa.
<br />Hujaeleweka...dawa kutibu BPH (kuzuia isiendelee kuvimba? iliyovimba inywee? au kinga inazuia isivimbe kabisa?). Sijawahi kuisikia hiyo dawa ya asili. mpeleke tu ndugu yako hospitali wamchunguze, kama atahitaji upasuaji basi msaidie afanyiwe, msisubiri mpaka siku mkojo umebana muanze kukimbizana. Huwa wanateseka kweli, nishaona watu wazima weengi sana waliobanwa wanalia kama watoto, na wengi wao waliniamkia (ha ha haa) baada ya kuwasaidia kuwekwa mpira wakati mi sikuwa hata na nusu ya umri wao!