Natafuta tiba ya halitosis nipo mwanza

Natafuta tiba ya halitosis nipo mwanza

Tuwasiliane pm wadau
halitosis = bad breath, chanzo chake chaweza kuwa: kinywani, puani, RT, au tumboni! Kwahiyo na matibabu hutofautiana kulingana na chanzo cha harufu kilipo nashauri umtembelee dentist.
 
Back
Top Bottom