GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa:
1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa
2. Majani yamejisokota kidogo
3. Ina kama ukungu mweupe hivi kwenye shina
Mwanzoni nilifikiri imezidishiwa mbolea (samadi ya ng'ombe), lakini nimejiridhisha kuwa sivyo, kwa sababu mingine yote inaota vizuri sana isipokuwa hiyo miwili tu.
Inaweza ikawa na shida gani?
Hilo tatizo linaweza kutibika?
Asanteni kwa ushauri wenu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Attachments
-
IMG_20231008_182107.jpg337.3 KB · Views: 3 -
IMG_20231008_182105.jpg383.8 KB · Views: 4 -
IMG_20231008_182103.jpg285.8 KB · Views: 4 -
IMG_20231008_182103.jpg285.8 KB · Views: 5 -
IMG_20231008_182100.jpg387.8 KB · Views: 4 -
IMG_20231008_182058.jpg333.1 KB · Views: 4 -
IMG_20231008_181810.jpg1.9 MB · Views: 5 -
IMG_20231008_181828.jpg1,018.7 KB · Views: 4 -
IMG_20231008_181821.jpg1.3 MB · Views: 4 -
IMG_20231008_181832.jpg780.3 KB · Views: 5 -
IMG_20231008_181832.jpg780.3 KB · Views: 3 -
IMG_20231008_182037.jpg1.3 MB · Views: 3