Natafuta tiba ya hii mipapai

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa:

1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa

2. Majani yamejisokota kidogo

3. Ina kama ukungu mweupe hivi kwenye shina

Mwanzoni nilifikiri imezidishiwa mbolea (samadi ya ng'ombe), lakini nimejiridhisha kuwa sivyo, kwa sababu mingine yote inaota vizuri sana isipokuwa hiyo miwili tu.

Inaweza ikawa na shida gani?

Hilo tatizo linaweza kutibika?

Asanteni kwa ushauri wenu
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 

Attachments

  • IMG_20231008_182107.jpg
    337.3 KB · Views: 3
  • IMG_20231008_182105.jpg
    383.8 KB · Views: 4
  • IMG_20231008_182103.jpg
    285.8 KB · Views: 4
  • IMG_20231008_182103.jpg
    285.8 KB · Views: 5
  • IMG_20231008_182100.jpg
    387.8 KB · Views: 4
  • IMG_20231008_182058.jpg
    333.1 KB · Views: 4
  • IMG_20231008_181810.jpg
    1.9 MB · Views: 5
  • IMG_20231008_181828.jpg
    1,018.7 KB · Views: 4
  • IMG_20231008_181821.jpg
    1.3 MB · Views: 4
  • IMG_20231008_181832.jpg
    780.3 KB · Views: 5
  • IMG_20231008_181832.jpg
    780.3 KB · Views: 3
  • IMG_20231008_182037.jpg
    1.3 MB · Views: 3
Pole Kwa changamoto boss,ingawa picha zako haziko clear lakini nitakujibu kulingana na maelezo yako.

Kuhusu kujikunja Kwa majani:aHii husababishwa na wadudu ambao hufyonza unyevunyevu,hii inasababisha mmea kudumaa na majani kujikunja,Tumia dawa ya wadudu kama Rapid Attack
 
Kwa case ya ukungu,
Kwanza punguza rate ya kumwagilia,kisha puliza dawa ya kutoa ukungu kama Farm guard na nyinginezo
 
Pole kwa changamoto, hao ni mealbugs ambao ni weupe kama ukungu na huwa hawaruki,sasa wao wana kazi ya kunyonya majimaji Sukari katika mfumo wa usafirishaji wa mmea, matokeo yake ndio kujikunja kwa majani na kudumaa kwa mmea.
Kuna mambo kadhaa yanayoleta hawa jamaa na kuna namna kadhaa za kuwadhibiti na kuamsha mmea ukae sawa.

Kwa maelekezo na msaada wasiliana na idara ya visumbufu,shamba initiatives and Agritours, Morogoro mjini. 0714600575/0620598113
 
Nashukuru madam. Nilienda duka la pembejeo wakanishauri nipulizie dawa inayoonekana hapa chini, nimezichanganya. Nimeshafanya hivyo, nausubiria nione kama kutakuwepo na mabadiliko.
 

Attachments

  • IMG-20231009-WA0000.jpg
    65.1 KB · Views: 2
Nashukuru mkuu. Dawa niliyoitumia ni sahihi?

Nashukuru kwa mawasiliano pia ya Idara ya Visumbufu. Endapo dawa niliyoipulizia haitasaidia nitawapigia. Asante sana.
 

Attachments

  • IMG-20231009-WA0000.jpg
    65.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…