Natafuta tiles aina hii ya India

Natafuta tiles aina hii ya India

Daddi

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
890
Reaction score
1,395
Wakuu habari za muda huu?
Naomba wauzaji wa tiles au yeyote mwenye kujua nani ambae ana hizi tiles za aina hii anijuze. Nimeshazitumia sehemu kubwa ila zimepelea kama box3 nimerudi kwa alieniuzia kamaliza. Mwenye nazo tafadhali sana naomba mawasiliano yako tufanye biashara.

Model yake ni EUROPA 202-M

Box lake la kaki limeandikwa ACBON

Naambatanisha picha
 

Attachments

  • 20240914_174608.jpg
    20240914_174608.jpg
    1.5 MB · Views: 28
  • 20240914_174605.jpg
    20240914_174605.jpg
    1.5 MB · Views: 19
  • 20240914_174545.jpg
    20240914_174545.jpg
    2.8 MB · Views: 24
  • 20240905_190420.jpg
    20240905_190420.jpg
    1.6 MB · Views: 33
Hata kama kuna ambae alinunua kwa ajili ya matumizi yake zikabaki nitanunua pia
 
Back
Top Bottom