Natafuta tovuti ya bei ya vyakula Tanzania na Afrika Mashariki

Natafuta tovuti ya bei ya vyakula Tanzania na Afrika Mashariki

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari za leo wanajamvi,

Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati.

Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
 
Kwa mweny kuhitaji hizi taarfa ninazo excel sheet zinazoonesha bei ya masoko yote kwa Tz kuanzia historical price za mwaka 2015 mpaka za hivi karbuni june2020.

Husaidia kujua pakununulia zao husika na wapi linanunuliwa kwa bei zaidi ili uuze(buy low-sell high) taarifa hizi ninmuhimu kwa mtu anayefanya inter regional trade ya mazao kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kwa Tz maana utajua n wapi ukanunulie na wapi ukauzie

Contact me via my whatssap no 0755 637 955
 
Mwenye interest
Nilikua na hii project ya bei za mazao sokoni atakaeweza aifanyie kazi,mi niliishia njiani

The idea was;
Kuwa na app ambayo itakupa real prices za bidhaa katika eneo husika
Aina ya bidhaa ni nafaka sana sana ama common products...

Watu wa mitandao ya simu walisema inawezekana

Input ya hizo bei tutalazimika kuwa na agent kwenye kila soko kuu/kubwa la mkoa ama wilaya ambae ata'key in bei husika kwa siku hio...na hapa ndio inabidi uwe makini ziwekwe taarifa sahihi

Watumiaji;
Wakulima, wafanyabiashara na raia wa kawaida

Faida;
Market analysis ya bei inaweza msaidia mnunuzi ama muuzaji kujua akauze ama akanunue wapi kitu husika
 
Mbona hukuiendeleza mkuu. changamoto ilikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom