Mwenye interest
Nilikua na hii project ya bei za mazao sokoni atakaeweza aifanyie kazi,mi niliishia njiani
The idea was;
Kuwa na app ambayo itakupa real prices za bidhaa katika eneo husika
Aina ya bidhaa ni nafaka sana sana ama common products...
Watu wa mitandao ya simu walisema inawezekana
Input ya hizo bei tutalazimika kuwa na agent kwenye kila soko kuu/kubwa la mkoa ama wilaya ambae ata'key in bei husika kwa siku hio...na hapa ndio inabidi uwe makini ziwekwe taarifa sahihi
Watumiaji;
Wakulima, wafanyabiashara na raia wa kawaida
Faida;
Market analysis ya bei inaweza msaidia mnunuzi ama muuzaji kujua akauze ama akanunue wapi kitu husika