SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
Naamini hata darasani ulikuwa kipanga, hauna maneno mengi, umegonga mulemule. Kasorou-manual tu, nao kakaribisha meza ya maongezi
Weka hadharani bei ya huyu mnyama. Maana kuna watu wana hasira naye.
3M itapendezaWeka hadharani bei ya huyu mnyama. Maana kuna watu wana hasira naye.
Injini yake ni 4E, au 5A? Bei nayo imekaa pazuri. Natambua fika mazungumzo yapo.3M itapendeza
5AInjini yake ni 4E, au 5A? Bei nayo imekaa pazuri. Natambua fika mazungumzo yapo.
Hiki chuma kimeshaondoka?
Chuma kipoHiki chuma kimeshaondoka?
Kama bado tufanye mazungumzo.