The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
wadau,
budget yangu ni 8M or below
PM kama unayo
budget yangu ni 8M or below
PM kama unayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepiga mahesabu kwamba dollar imepanda,umeona uchukue kwa mtu, kwani Huku Japan ungichukua kwa Ng'ombe?
Akili za kimaskini hizi na wivu, bwegge kabisa.Umepiga mahesabu kwamba dollar imepanda,umeona uchukue kwa mtu, kwani Huku Japan ungichukua kwa Ng'ombe?
Sasa wewe na kamilioni 8 kako unajitokeza kutafuta kick kuwa na gari. Tena kapesa kenyewe ka mkopo na unakatwa 5yrs na ndio kwanza uko mwaka wa pili kazini. Acha kukimbila maisha soro wewe.
Duh aiseee we jamaa nomaaSasa wewe na kamilioni 8 kako unajitokeza kutafuta kick kuwa na gari. Tena kapesa kenyewe ka mkopo na unakatwa 5yrs na ndio kwanza uko mwaka wa pili kazini. Acha kukimbila maisha soro wewe.
mkuu, unatusema wengi.Sasa wewe na kamilioni 8 kako unajitokeza kutafuta kick kuwa na gari. Tena kapesa kenyewe ka mkopo na unakatwa 5yrs na ndio kwanza uko mwaka wa pili kazini. Acha kukimbila maisha soro wewe.