Natafuta Toyota Premio

Natafuta Toyota Premio

Bangila

Senior Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
117
Reaction score
147
Wana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba DZ au Namba E.
Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox

Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya mkikausha.
 
Wana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba D za Mwisho au Namba E.
Mwenye nayo aitumie meseji Inn bOX (dm)

Pi mwenye Toyota Rush anicheck
Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya mkikausha.
Sema budget yako
 
Wana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba D za Mwisho au Namba E.
Mwenye nayo aitumie meseji Inn bOX (dm)

Pi mwenye Toyota Rush anicheck
Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya mkikausha.
Eti madalali wakaushe! Kila la heri mkuu
 
New model ipi sasa? Zipo matoleo tofauti, Kuna matoleo tofauti sana, weka yom
 
Unayojitaji Japan inauzwaje?
Bei ya gari (minimum) Dola = 2500x2750 = Tshs. 6,875,000
Gharama za usafirishaji/Inspection 1912 x 2750 = Tsh. 5,258,000
Handling charge 300,000 (Nimekadiria)
TRA Kodi na Ushuru Tshs. 10,708,961
Agency fee 300,000
Wakala wa meli 300,000 (Nimekadria)

ukijumlisha hizo utapata jibu
 
Wana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba D za Mwisho au Namba E.
Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments.

Pi mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya mkikausha.
ni check ya kwangu ni silver nauza mil 16
 
Back
Top Bottom