Natafuta Toyota Premio

Natafuta Toyota Premio

Nimeshakuonya Mumewangu kuwa makini unavyotukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaako
Ninachojua sina mama duniani binti yangu ila nakuonya haifai binti kama wewe kudanganya watu humu
 
Premio new model..

1280px-Toyota_PREMIO_1.5F_L_Package.jpg
 
Wana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba DZ au Namba E.
Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox

Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya mkikausha.
Mkuu siingilii Maamuzi yako lakini nikushauri Engine ya Cc 1450 ni ndogo sana haina tofauti na ya Ist na ingekuwa vyema ungetafuta hata cc 1798 (1800) hii kidogo ina nguvu na usiogope ulaji wa mafuta tofauti ni kidogo mno..... Hii engine ndogo ya Cc 1400 ni nzuri kwa ulaji mdogo wa mafuta lakini kwenye safari ndefu inayohitaji kubeba mizigo kidogo na watu wanne kama ni wazito kidogo hutaipenda....(naongea kutokana na uzoefu)
Chukua ya cc 1798 utakuja kujishukuru mwenyewe baadaye....
 
Back
Top Bottom