Natafuta Toyota Premio

Bangila

Senior Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
117
Reaction score
147
Wana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba DZ au Namba E.
Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox

Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya mkikausha.
 
Sema budget yako
 
Eti madalali wakaushe! Kila la heri mkuu
 
New model ipi sasa? Zipo matoleo tofauti, Kuna matoleo tofauti sana, weka yom
 
Unayojitaji Japan inauzwaje?
Bei ya gari (minimum) Dola = 2500x2750 = Tshs. 6,875,000
Gharama za usafirishaji/Inspection 1912 x 2750 = Tsh. 5,258,000
Handling charge 300,000 (Nimekadiria)
TRA Kodi na Ushuru Tshs. 10,708,961
Agency fee 300,000
Wakala wa meli 300,000 (Nimekadria)

ukijumlisha hizo utapata jibu
 
ni check ya kwangu ni silver nauza mil 16
 
Unakosea sana kuweka kipengele cha namba hata kama ni latest,wewe tafuta gari zuri licha ya kuwatumia madalali lakini hakikisha una fundi injini wa uhakika
Nashukuru kwa ushauri mkuu nitazingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…