Natafuta Toyota Premio

Nimeshakuonya Mumewangu kuwa makini unavyotukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaako
Ninachojua sina mama duniani binti yangu ila nakuonya haifai binti kama wewe kudanganya watu humu
 
Mkuu siingilii Maamuzi yako lakini nikushauri Engine ya Cc 1450 ni ndogo sana haina tofauti na ya Ist na ingekuwa vyema ungetafuta hata cc 1798 (1800) hii kidogo ina nguvu na usiogope ulaji wa mafuta tofauti ni kidogo mno..... Hii engine ndogo ya Cc 1400 ni nzuri kwa ulaji mdogo wa mafuta lakini kwenye safari ndefu inayohitaji kubeba mizigo kidogo na watu wanne kama ni wazito kidogo hutaipenda....(naongea kutokana na uzoefu)
Chukua ya cc 1798 utakuja kujishukuru mwenyewe baadaye....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…