Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaogopa pesa za mkeo atakutimuaNatafuta Toyota vitz nzuri.
New model au hata old model ambayo iko vizuri.
Gari isiwe na vipengele/ubovu (nitafilisika/mke wangu atanilaumu)
Bajeti 4,000,000 hadi 5,000,000
Napatikana Kinondoni Dar es Salaam.
Mad Max
Ndeko
mmewadadako
Tunzo10
Tatizo uchelewi kusema nimezidisha pesa wakati Mimi napokea nilivyo ambiwaNdio. Nitafutie basi VITZ, pesa ipo hapa kwenye bag.
Nitakupa majibu baadae sitati upate ilimradi gariSitosema blaza. Huwa vile nakuchangamsha kufanya uzi wako ubaki juu watu wasome!
Mzigo upo nichek 0742 228902Natafuta Toyota vitz nzuri.
New model au hata old model ambayo iko vizuri.
Gari isiwe na vipengele/ubovu (nitafilisika/mke wangu atanilaumu)
Bajeti 4,000,000 hadi 5,000,000
Napatikana Kinondoni Dar es Salaam.
Mad Max
Ndeko
mmewadadako
Tunzo10