Nimepata mambo mengi sana tangu nilipoingia jamii forums. Wanachama wake ni watendaji kila wanaposoma issue ya mtu na kuelewa pale inapowezekana wamekuwa wanasaidia sana.
Naomba kwa mara nyingine nisaidieni ni wapi kwenye maduka yetu hapa mjini naweza kupata tube light ya kuangalia kama note ni feki au halali?
Asanteni kwa ushauri wenu
mungu awabariki
Naomba kwa mara nyingine nisaidieni ni wapi kwenye maduka yetu hapa mjini naweza kupata tube light ya kuangalia kama note ni feki au halali?
Asanteni kwa ushauri wenu
mungu awabariki