H.M.MUYANGO
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 110
- 9
Napenda Kuweka Wazi Maslahi Ninayoyataka ni Mgao wa 40% kwa 60% katika mauzo ya kitabu hicho kwa uwazi na ushirikiano. Na nikitabu kitakacho vutia watu wa aina zote kwakuwa kinagusa maisha na maendeleo ya kiuchumi(utajiri na umasikini)!mkataba wa biashara hii tunatakiwa kuusaini mwanzo kabla hatuja kichapa kitabu na mambo yote ya uchapaji wa kitabu yanatakiwa yawe wazi ikiwemo kushirikiana ktk mpango wa soko la kitabu na usambazaji wa kitabu kwakuwa mimi pia nina elimu ya masuala ya biashara.Kwa kampuni yoyote ya Uchapaji Vitabu ama mtu anayehitaji tufanye kazi na biashara hii kwa kuzingatia maelezo yangu.Namba yangu ya simu kwa mawasiliano zaidi ni 0719586416.