Natafuta Udhamini Wa Kuchapa Kitabu Changu Kwa Makubaliano Ya Maslahi.

H.M.MUYANGO

Senior Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
110
Reaction score
9
Napenda Kuweka Wazi Maslahi Ninayoyataka ni Mgao wa 40% kwa 60% katika mauzo ya kitabu hicho kwa uwazi na ushirikiano. Na nikitabu kitakacho vutia watu wa aina zote kwakuwa kinagusa maisha na maendeleo ya kiuchumi(utajiri na umasikini)!mkataba wa biashara hii tunatakiwa kuusaini mwanzo kabla hatuja kichapa kitabu na mambo yote ya uchapaji wa kitabu yanatakiwa yawe wazi ikiwemo kushirikiana ktk mpango wa soko la kitabu na usambazaji wa kitabu kwakuwa mimi pia nina elimu ya masuala ya biashara.Kwa kampuni yoyote ya Uchapaji Vitabu ama mtu anayehitaji tufanye kazi na biashara hii kwa kuzingatia maelezo yangu.Namba yangu ya simu kwa mawasiliano zaidi ni 0719586416.
 
Wazo lako linaweza kuwa zuri.
lakini sie wa Tanzania wengi,yaani ukisikia habari inaitwa kitabu watu hata hii thread wanaweza wengine wasifungue.
Ila ingekuwa umeandika Mikopo,tobaaa,ndani ya dakika kumi viewers kibaaaooo.

Hembu tujuze umewahi kuandika kitabu hiki,na pia umefanya uchunguzi wa kutosha kama kitawalipa?
Maana muwekezaji yoyote anategemea maslahi,na suala la biashara ya vitabu kwa Tanzania ni tatizo kubwa sana.
Unless uwe umefanya uchunguzi ikiwemo wa Gharama halizi,circulated copies na Marketing points.
 
good ideas keep it up, watakuja tuu ila baada ya mafanikio feedback muhimu broo pia kun thread kama yako humu jf jaribu kuipitia maana kun kampuni huwa zinafanya kazi kama hii wako kwenye uo uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…