Natafuta Udhamini wa masomo

Natafuta Udhamini wa masomo

Mecris1992

Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Habari, Majina yangu Emanuel Maro, nimehitimu masomo katika kada ya ugavi na manunuzi (procurement and supplies management) ngazi ya cheti katika chuo cha utumishi Wa umma Tanzania (TPSC). Ninatakiwa kuendelea na masomo ngazi ya diploma lakini nimeshindwa kukidhi gharama za masomo, nilianza kujisomesha tangu nikiwa kidato cha pili, na nilipomaliza kidato cha nne nilijishughulisha na kupata pesa zilizoniwezesha kugharimia gharama za masomo, hostel na chakula mpaka nilipomaliza ngazi ya cheti, nilijaribu kutafuta uwezekano Wa kufanya Biashara lakini niligundua mtaji nilionao no mdogo kwa Biashara ambayo inalipa kwa mazingira niliyopo,. Hivyo ninaomba msaada ktk hili kwa yeyote anaeweza kunidhamini gharama za masomo hata kwa makubaliano ya kumlipa baada ya masomo tafadhari anisaidie. Pia hata kama ni kazi nipo tayari kufanya kwa makubaliano ya kunisaidia gharama za masomo. Mimi nipo Tabora.
TAFADHALI NAOMBENI MSAADA WENU.
 
ok,kwanza hongera,ushauri wangu nikutambua kila m2 mungu ana namna ya kumtoa ktka kila hali yoyote ile,omba na jaribu kutafta scholarships maana kuna baathi ya w2 uk wafwatilia utaweza kukubaliana nao,na zaidi usiwe na woga ,kama kuna SHIRIKA amblo lna weza toa msaada ,i advce u 2go and talk 2 them,,ila hongera kwa ha2ua hyo
 
Ahsante sana kwa ushauri wako mzuri mungu akubariki
 
Back
Top Bottom