Natafuta unga wa muhogo nipike uji huku Tabata

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
Wakuu,

Katika harakati za kusapoti Wamakonde wenzangu kwenye hiki kipengele cha kunywa uji wa mhogo usiokuwa na chumvi wala sukari,

Nimehangaika sana maduka kibao ya huku tabata_barakuda kutafuta unga wa muhogo angalau kilo 6 nipike uji wangu wa kutosha kama ndoo nne hivi,

Niudufue ili kwenda sawa na wamakonde wenzangu walioko Mtwara,

Hususani maeneo ya tandahimba na viunga vyake.

Kama kuna anayeuza unga wa muhogo anijuze fasta hapa wakuu ili ninunue kwa bei yoyote.

[emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469] [emoji377] [emoji124] [emoji469]
 
Niudufueee..
Umenikumbusha enzi zangu nyumbani wakipika wali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…