wazagamba nkoko
JF-Expert Member
- Nov 23, 2021
- 389
- 998
- Thread starter
- #21
Shukrani sana mkuuBarabara ya Sinza kijiweni hadi Magomeni Kanisani imejaa magari ya kuchinja yaliyopata ajali kuna.chuma hadi namba EA zimekatwa hakuna spear utakosa kule hata injini nzima ya gari ndogo hadi vx unapata