Natafuta uwaridi linalonukia vizuri kwa ajili ya kusherehekea wikiendi

Natafuta uwaridi linalonukia vizuri kwa ajili ya kusherehekea wikiendi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Wikiendi ndio inaanza hivyo wakuu.

Na ili ipendeze na kufana vizuri zaidi, ni muhimu kuwepo na maua mbalimbali yanayovutia na kunukia vizuri.

Nimeuza debe zangu mbili za mpunga, mfuko umejaa kiasi.

Kwa wewe pisi kali unayehitaji mtoko kwa wikiendi hii, njoo tuyajenge; muhimu uwe na 'vibe' tu ya viwanja.​
 
Back
Top Bottom