Natafuta vifaranga vya broiler

Mfonii

Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
50
Reaction score
34
Habari wadau? Nashida na vifaranga vya broiler kwa yoyote anae fahamu wapi nitapata naomba mawasilianao.
 
Kichwa cha uzi wako kingekua "Natafuta vifaranga vya broiler-Arusha"
Ungepata kirahisi mkuu .
 
Tafuta wakala wa kibo poultry co. Hapo arachee watakuwepo tu, hawa wapo moshi wanazalisha vifaranga .. Au nenda maduka ya pembejeo uulizie penye incubators.
 
Habari wadau? Nashida na vifaranga vya broiler kwa yoyote anae fahamu wapi nitapata naomba mawasilianao.
Hifadhi pesa yako bank, subiri mpaka January ununuwe vifaranga wa Interchick au hata Kibo au Arusha pia ipo kampuni inazalisha.

Kwa sasa vifaranga production kwenye kampuni kubwa siyo nzuri hivyo vifaranga ni adimu na bei juu.

Tumia muda huu uliopo kujiunga kwenye magroup ya wafugaji kuku upate elimu zaidi ili January ikifika ukianza ufugaji uwe na elimu ya kutosha.

Kwa sasa weka pesa yako bank usisumbuke, nakushauri kitu ninachokijuwa vizuri kuliko maelezo.
 
Mkuu shukran elimu ninayo ila kias chake lakini kuongeza ujuzi sio mbaya. Hayo magroup nitapataje link zake msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…