Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo WAP mkuuHabari wadau? Nashida na vifaranga vya broiler kwa yoyote anae fahamu wapi nitapata naomba mawasilianao.
Huko sinaMbali sana mkuu, kma kuna mtu unamfahamu arusha naomba connection
Ila tahadhari iwe nayo!, la sivyo utauziwa vijogoo badala ya broiler kama wewe sio mjuzi kwa upande wa broiler.Shukran mkuu
Arusha vifaranga kwa sasa vimekua adimu sana na vinapatikana kwa connection mnoMkuu nipo arusha
Hifadhi pesa yako bank, subiri mpaka January ununuwe vifaranga wa Interchick au hata Kibo au Arusha pia ipo kampuni inazalisha.Habari wadau? Nashida na vifaranga vya broiler kwa yoyote anae fahamu wapi nitapata naomba mawasilianao.
Hata hao vijogoo ni broiler pia.Ila tahadhari iwe nayo!, la sivyo utauziwa vijogoo badala ya broiler kama wewe sio mjuzi kwa upande wa broiler.
Kuna watu wanalizwa sana kwa style hii.
Mkuu shukran elimu ninayo ila kias chake lakini kuongeza ujuzi sio mbaya. Hayo magroup nitapataje link zake msaada.Hifadhi pesa yako bank, subiri mpaka January ununuwe vifaranga wa Interchick au hata Kibo au Arusha pia ipo kampuni inazalisha.
Kwa sasa vifaranga production kwenye kampuni kubwa siyo nzuri hivyo vifaranga ni adimu na bei juu.
Tumia muda huu uliopo kujiunga kwenye magroup ya wafugaji kuku upate elimu zaidi ili January ikifika ukianza ufugaji uwe na elimu ya kutosha.
Kwa sasa weka pesa yako bank usisumbuke, nakushauri kitu ninachokijuwa vizuri kuliko maelezo.
Mwana kulitafuta mwana kulipata, umekuja kuomba ushauri unaelezwa fact unaleta ujuwaji.Kuna connection ya Nairobi nmeipata
Majogoo ya layersHata hao vijogoo ni broiler pia.