Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwani unavyosikia neno broiler huwa unaelewa nini?Kwamba broiler wana vijogoo [emoji16][emoji16]
Unamaanisha broilers ni majogoo wa nyama enh?Kwani unavyosikia neno broiler huwa unaelewa nini?
Mwanza wanapatikana mkuu?
[emoji2][emoji2][emoji2]kuku mchanga anayefaa kuchomwa, au kuoka.
Nakusudia wanaopatikana kutoka kwa layers.Hata hao vijogoo ni broiler pia.
njoo tazara mkuza chicks bei 1900 no 0684586458Habari wadau? Nashida na vifaranga vya broiler kwa yoyote anae fahamu wapi nitapata naomba mawasilianao.