Natafuta vifaranga wa samaki sato.

ROKY

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
182
Reaction score
70
Wana JF,
Natafuta vifaranga wa samaki sato. Nataka kuanza ufugaji wa samaki aina ya sato.
Naomba anayejua wapi nitapata aniarifu, pia anipe contacts za huku kunapopatikana vifaranga hao wa sato.

Asanteni sana.
 
Kuna thread ya hivi karibuni imeandikwa ufugaji wa samaki, jamaa katoa contact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…