Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF,
Natafuta vifaranga wa samaki sato. Nataka kuanza ufugaji wa samaki aina ya sato.
Naomba anayejua wapi nitapata aniarifu, pia anipe contacts za huku kunapopatikana vifaranga hao wa sato.
Asanteni sana.