Natafuta vijana 10 tufanye kilimo

Vijana wa JF mikono yao,matako yao,miguu yao,sura zao,hata sehemu za siri zao ni laini wataweza kweli kilimo tena cha jembe la mkono?
Humu JF kila mtu ana pesa wakiongozwa na boss Kiduku Lilo.
 
Kwa wenye mawazo potofu kama sisi hapa tunaweza kuwaza mengine....
 
Vijana wa JF mikono yao,matako yao,miguu yao,sura zao,hata sehemu za siri zao ni laini wataweza kweli kilimo tena cha jembe la mkono?
Humu JF kila mtu ana pesa wakiongozwa na boss Kiduku Lilo.
😂😂😂😂😂
 
Huu ushauri nimepita nao
 
Kwanza ungesema maeneo yenyewe hayo ya kulima yapo wapi na sehemu gani ili Kama wakujipanga ajipange pia huwezi ita watu kabla hujajua Kama kilimo kitalipa au hakitolipa huo ni utapeli wa wazi wazi unataka uchukue ela za watu harafu ukawaache watu polini wewe ukimbie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeishapata vijana tupo tunaandaa shamba, mwezi wa kwanza mwishoni tunapanda mahindi na maharage...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usisahau pia kuwa:

MWENYE MTAJI MKUBWA NDIYE DEREVA WA MRADI NA MWENYE SAUTI KUU
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…