Natafuta vijana 10 tufanye kilimo

Natafuta vijana 10 tufanye kilimo

Vijana wa JF mikono yao,matako yao,miguu yao,sura zao,hata sehemu za siri zao ni laini wataweza kweli kilimo tena cha jembe la mkono?
Humu JF kila mtu ana pesa wakiongozwa na boss Kiduku Lilo.
 
Ajira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na nguvu kazi.
Kwa kipindi chote tutaishi kambini mpaka kuvuna mazao yetu.
Walio tayari PM mnakaribishwa.
Kwa wenye mawazo potofu kama sisi hapa tunaweza kuwaza mengine....
 
Ajira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na nguvu kazi.
Kwa kipindi chote tutaishi kambini mpaka kuvuna mazao yetu.
Walio tayari PM mnakaribishwa.
[/Q
Shamba lako lipo wapi?ninaweza kujiunga Kama mshirika na team ya vijana wa kazi ipo.
 
Unataka vijana kumi walime ekari hamsini? Yaani kila mmoja ekari 5?!! Hauko serious. Ni dhahiri wewe si mkulima.

Anza kidogo na ulicho nacho. Si lazima ulime zote kwa wakati mmoja. Kama una hela ajiri temporary laborers.. (Think big but start small ) Lima hata ekari 2 au 5 ili upate mtaji wa kulima shamba lote.

Naomba ufute mawazo ya kutafuta vijana kumi, tena unatafuta humu JF. Afu eti mkae kambini kipindi chote (4 months )

Tafakari upya. Kilimo hakihitaji kukurupuka. Ila nashauri uanze mwenyewe. Tena anza mara moja

Kila la heri.
Mr Confidential
Huu ushauri nimepita nao
 
Ajira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na nguvu kazi.
Kwa kipindi chote tutaishi kambini mpaka kuvuna mazao yetu.
Walio tayari PM mnakaribishwa.
Kwanza ungesema maeneo yenyewe hayo ya kulima yapo wapi na sehemu gani ili Kama wakujipanga ajipange pia huwezi ita watu kabla hujajua Kama kilimo kitalipa au hakitolipa huo ni utapeli wa wazi wazi unataka uchukue ela za watu harafu ukawaache watu polini wewe ukimbie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeishapata vijana tupo tunaandaa shamba, mwezi wa kwanza mwishoni tunapanda mahindi na maharage...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usisahau pia kuwa:

MWENYE MTAJI MKUBWA NDIYE DEREVA WA MRADI NA MWENYE SAUTI KUU
Mibongo Siku Zote Ni Takataka Tupu.

Yaani Inaamini Kila Mtu Anaweza Kupambana Kivyake Vyake Tu Mwisho Wa Siku Inajikuta Haina Hata Bodaboda,

Nasubiri na Wale Wa Ukiitwa Kwenye Fursa Ujue Wewe Ndo Fursa.

Mtu Pekee Asiyependa Ushirikiano Huwa Ni Shetani Kwa Kuwa Siku Zote Penye Ushirikiano Pana Mafanikio Makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom