M Mdogo ake the BOLD JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 510 Reaction score 871 Feb 22, 2023 #1 Wakuu kwema wanahitajika vijana kwa ajili ya kufanya delivery katika jiji la Dar es Salaam umri ni kuanzia miaka 20 mpaka miaka 27 na lazima wawe na ujuzi wa kuendesha pikipiki Kwa mawasiliano piga namba 0652111609
Wakuu kwema wanahitajika vijana kwa ajili ya kufanya delivery katika jiji la Dar es Salaam umri ni kuanzia miaka 20 mpaka miaka 27 na lazima wawe na ujuzi wa kuendesha pikipiki Kwa mawasiliano piga namba 0652111609
southernboy JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 882 Reaction score 1,075 Feb 22, 2023 #2 vipi kwa mimi mwenye unuzi wa kuendesha pikipiki lakini sina leseni
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,400 Reaction score 14,339 Mar 25, 2023 #4 vipi boss ulishawapata...naomba nikutafute tuyajenge
chandeka marwa Member Joined Mar 26, 2023 Posts 7 Reaction score 2 Mar 26, 2023 #5 Mkuu mimi naweza kuwa miongoni?? Nahitaji kazi na pikipiki naweza kuendesha