Natafuta vijana wa kufanya kazi za shamba.

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
nINA SHAMBA TANGA handeni nataka kulima mahindi ni heka 30, nataka kuanza kwa kulima heka kumi, shamba linatakiwa liandaliwe sio pori ila kuna majani makubwa sana yameota na mengine yana mizizi, baada ya hao kutakuwa na kupanda nakuendelea na palizi.

Mwenye vijana anisaidie nauli ya kuwatoa mkoani ipo icase wako mkoa tofauti. nahitaji vijana kwanzia wawili mpaka wanne
 
Ungeweka na Bei Utakayowalipa!
Sio unaandika tangazo tu ili mradi!!"
 
Ungeweka na Bei Utakayowalipa!
Sio unaandika tangazo tu ili mradi!!"

Kwa mwezi nitawalipa elfu 50 , alafu nitawaa chakula na malazi na mavazi, na matibabu kwa magonjwa yasiyo ya muda mrefu, kama homa,malaria nitahudumia.
 
tpmazembe, namimi nalima huko handeni Komkonga. Nakabiliwa na tatizo la nguvukazi pia, kama unavyojua ilivyo vigumu kuwapata wenyeji na ukizingatia na hali ya mvua inavyonyesha sasa inakuwa ngumu kuwashawishi wakubali kuingia shambani. Labda tushirikiane tu kutafuta watu wa mikoani kama ulivyoamua tayari, ila nadhani namna nzuri ya kuwalipa ni kwa kipimo cha kazi. Mfano mimi pale nimekuwa nalipa 60,000/= kwa kila ekari moja inayofyekwa na kulimwa (Bado ni pori sehemu kubwa). Cha kufanya ni kuwatengenezea kambi hukohuko shambani, gharama za chakula ni sehemu ya malipo ya kazi yao. Kilimo kikiisha wanarudi kwao kupumzika hadi utakapowahitaji tena. Challenge kubwa ni namna ya kuwapata, tuwasiliane kwa pm tushirikiane kuwapata kwa wingi!
 
Last edited by a moderator:
Waweza pata wagogo/wakagulu kutoka Dodoma.
Kazi hiyo ya kufanya muda na kuondoka ina wafaa. Huwa hawawezi kukaa muda mrefu. Pamoja na huduma hizo unazo wapa ni vema uka walipa kwa kipimo cha kazi. kwa mfano kufyeka pori kwa eka,kupalilia kwa eka,etc.
Ni vema kulima kwa tractor. Ngoja nipige simu then nitawajia na information.
Wagogo ndo work force shambani kwangu. Lakini mnahitaji kupata vijana wachache waaminifu kama main stay hapo shamba! Je hakuna wanyama waharibifu? Hakuna wezi? Reason unahitaji some permanent worker!

Uko sahihi sana MalafyaleP, itakuwa msaada mkubwa kuwapata wagogo. Kulima kwa tractor ni jambo la maana sana ila sasa kwa shamba linalolimwa kwa mara ya kwanza inakuwa ngumu, inabidi tu kutumia watu kwanza ili liwe safi halafu misimu inayofuata tractor linaweza kutumika. Main stay ni muhimu japo mmoja wa uhakika, mie nilimpata!
Ukifanikisha mawasiliano na wagogo usitusahau mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Kwa mwezi nitawalipa elfu 50 , alafu nitawaa chakula na malazi na mavazi, na matibabu kwa magonjwa yasiyo ya muda mrefu, kama homa,malaria nitahudumia.

mkuu umejipanga vema na hizo gharama. angalia wasije ishia kula na kupumzika. ajira za shamba watu hulipa kwa kazi inayofanyika... nakushauri huko huko tanga endeleea kutafuta utapata vinginevyo utakuwa na gharama kubwa hata faida usije kuiona.
 
thanks, ila project yangu kubwa mashamba ninayo meni na ninahitaji kuongeza hivyo watakuwa wakifyeka pia nataka kuanza na kufuga hawatakaa bure.ila pia ushauri wako mzuri kuchukua wa muda mfupi alafu mnalipana.
 
Hebu jaribu hii:0688086227 kwamba unatafuta vijana kwa ajili ya shughuli za shamba
Uko sahihi sana MalafyaleP, itakuwa msaada mkubwa kuwapata wagogo. Kulima kwa tractor ni jambo la maana sana ila sasa kwa shamba linalolimwa kwa mara ya kwanza inakuwa ngumu, inabidi tu kutumia watu kwanza ili liwe safi halafu misimu inayofuata tractor linaweza kutumika. Main stay ni muhimu japo mmoja wa uhakika, mie nilimpata!
Ukifanikisha mawasiliano na wagogo usitusahau mkuu!
 
tpmazembe, namimi nalima huko handeni Komkonga. Nakabiliwa na tatizo la nguvukazi pia, kama unavyojua ilivyo vigumu kuwapata wenyeji na ukizingatia na hali ya mvua inavyonyesha sasa inakuwa ngumu kuwashawishi wakubali kuingia shambani. Labda tushirikiane tu kutafuta watu wa mikoani kama ulivyoamua tayari, ila nadhani namna nzuri ya kuwalipa ni kwa kipimo cha kazi. Mfano mimi pale nimekuwa nalipa 60,000/= kwa kila ekari moja inayofyekwa na kulimwa (Bado ni pori sehemu kubwa). Cha kufanya ni kuwatengenezea kambi hukohuko shambani, gharama za chakula ni sehemu ya malipo ya kazi yao. Kilimo kikiisha wanarudi kwao kupumzika hadi utakapowahitaji tena. Challenge kubwa ni namna ya kuwapata, tuwasiliane kwa pm tushirikiane kuwapata kwa wingi!

asume ungekuwa wewe kwenye hiyo positioni ya kufanya kazi ya shamba halafu unalipwa elfu 50 kwa mwezi yaani siku 30 in short 50/30=1666.67 kwa siku halafu huko ukawe unamlisha ugari na maharage plus na nyama mara moja kwa mwezi plus matusi kibao si unyoyaji huu,hiyo elfu hamsini is nothing kw kweli si ni bora mtu akae kwao alime mashamba yao manaake.hivi ulidhani mtu aliyesema ni heli ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia kwenye ufalme wa mbingu unafikiri alikosea, achen unyonyaji huo kwa nini usichuke wadogo zako ukawalimishe halafu uwalipe hiyo hela,yaani uanze tu kuchukua watoto wa wenzio halafu ukawaimishe weeeee then uwape hela ya chai hiyo shit, na ulaaniwe na naomba mungu usianikiwe katika hili Amen. caution USIUTUMIE UMASIKINI WA MTU KAMA OPPORTUNITY
 
Last edited by a moderator:
hili jambo la nguvu kazi tungeomba lifanyiwe utafiti,mimi pia ni mkulima lakini toka kushamiri kwa shule za kata nguvu kazi mashambani hakuna;si kwamba napinga elimu,la hasha,naomba wataalamu watusaidie hapa tufanye nini....
 
Trekta ni mkombozi kwa sehemu yenye matatizo ya nguvu kazi.
 
asume ungekuwa wewe kwenye hiyo positioni ya kufanya kazi ya shamba halafu unalipwa elfu 50 kwa mwezi yaani siku 30 in short 50/30=1666.67 kwa siku halafu huko ukawe unamlisha ugari na maharage plus na nyama mara moja kwa mwezi plus matusi kibao si unyoyaji huu,hiyo elfu hamsini is nothing kw kweli si ni bora mtu akae kwao alime mashamba yao manaake.hivi ulidhani mtu aliyesema ni heli ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia kwenye ufalme wa mbingu unafikiri alikosea, achen unyonyaji huo kwa nini usichuke wadogo zako ukawalimishe halafu uwalipe hiyo hela,yaani uanze tu kuchukua watoto wa wenzio halafu ukawaimishe weeeee then uwape hela ya chai hiyo shit, na ulaaniwe na naomba mungu usianikiwe katika hili Amen. caution USIUTUMIE UMASIKINI WA MTU KAMA OPPORTUNITY

Asante kwa mchango wako wa mawazo mkuu, gharama ya wastani kulima ekari moja kwa tractor ni 40,000/= . Shamba jipya ni ngumu kutumia tractor, option kusafisha kwanza kwa mikono ambapo bei ndo hiyo inakuwa 60,000/= kwa ekari moja. Pengine kwako hiyo ni pesa ndogo sana ila ni muhimu kutambua kuwa unapofanya biashara faida inategemea sana gharama za uzalishaji, na hiyo 60,000/= nayo imepatikana kwa kazi ngumu na kujibana vilevile. Mimi nilidhani ni vizuri kugawana hiki kidogo na watanzania wenzetu kwa kupeana ajira hizi katika kilimo, kuna taarifa kuwa katika baadhi ya sehemu wakenya wanakuja wanafanya hizi kazi mashambani. Samahani kama umekwazika mkuu!!
 
hekari 30 ujue ni sawa na eka 75!. unafikiri wwwatu wanne wataziweza?
 
acha ubepari na ubwenyenye..fanya kazi mwenyewe
 
Halafu tunashangaa kwanini makmpuni ya kigeni hayataki kuajiri watanzania, baadhi yetu tuna negative attitude na kazi kupitiliza. Na mwisho wa siku unasikia the cost of operation is too high in Tanzania, then the food price is too high in Tanzania, and finally one concludes "Tatizo CCM"
 
Asante kwa mchango wako wa mawazo mkuu, gharama ya wastani kulima ekari moja kwa tractor ni 40,000/= . Shamba jipya ni ngumu kutumia tractor, option kusafisha kwanza kwa mikono ambapo bei ndo hiyo inakuwa 60,000/= kwa ekari moja. Pengine kwako hiyo ni pesa ndogo sana ila ni muhimu kutambua kuwa unapofanya biashara faida inategemea sana gharama za uzalishaji, na hiyo 60,000/= nayo imepatikana kwa kazi ngumu na kujibana vilevile. Jamaa kamjibu aliesema atalipa elf 50 kwa Mwezi
 
Watafute wagogo huwa wanachapa kazi sana, kuna mmoja alinifyekea shamba langu la heka 10 kwa week 2 na nusu tena peke yake. Ila tatizo sio wakaaji akimaliza anasepa zake
 
asume ungekuwa wewe kwenye hiyo positioni ya kufanya kazi ya shamba halafu unalipwa elfu 50 kwa mwezi yaani siku 30 in short 50/30=1666.67 kwa siku halafu huko ukawe unamlisha ugari na maharage plus na nyama mara moja kwa mwezi plus matusi kibao si unyoyaji huu,hiyo elfu hamsini is nothing kw kweli si ni bora mtu akae kwao alime mashamba yao manaake.hivi ulidhani mtu aliyesema ni heli ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia kwenye ufalme wa mbingu unafikiri alikosea, achen unyonyaji huo kwa nini usichuke wadogo zako ukawalimishe halafu uwalipe hiyo hela,yaani uanze tu kuchukua watoto wa wenzio halafu ukawaimishe weeeee then uwape hela ya chai hiyo shit, na ulaaniwe na naomba mungu usianikiwe katika hili Amen. caution USIUTUMIE UMASIKINI WA MTU KAMA OPPORTUNITY

Haya sasa mwanaharakati uchwara huyu hapa; WEWE UNAYE HATA HOUSE GIRL NDANI KWAKO? HEBU KUWA MKWELI SEMA UNAMLIPA KIASI GANI? Kilimo nacho ni biashara kama biashara zingine, mtu lazima upige hesabu na wewe ubaki na chako. Njia nzuri ya kuwalipa vibarua ni kwa ekari moja ya kazi, unayemlipa kwa mwezi ni tofauti na kibarua, kwa kazi ya shamba mtumishi wa kawaida kwa wajasiriamali wadogo ujira wake hauzidi 120K todauti na hapo tegemea maumivu. Madaraja yapo tu utake usitake, kumwambia mtu ajiweke kwenye position ya huyo mtumishi haileti maana hata kidogo, hata wewe leo unatamani uongezewe mshahara lakini mwajiri anaona hailipi akikuongezea. Mara ya mwisho nilikuwa naajiri msaidizi kwenye kazi yangu fulani, nikamuuliza unataka nikulipe pesa ngapi, akaangalia mazingira pale akasema "tuanze na elfu 60 brother", nikamwambia tutaanza na 80, kadri tunavyokuwa tunaongezeana; mwenye akili timamu anajua kabisa kwamba alali yangu mimi kwenye kazi hii nikipewa kadhaa si mbaya sana, hata kwenye ajira rasmi kuna tofauti za mishahara!
 
Back
Top Bottom