nINA SHAMBA TANGA handeni nataka kulima mahindi ni heka 30, nataka kuanza kwa kulima heka kumi, shamba linatakiwa liandaliwe sio pori ila kuna majani makubwa sana yameota na mengine yana mizizi, baada ya hao kutakuwa na kupanda nakuendelea na palizi.
Mwenye vijana anisaidie nauli ya kuwatoa mkoani ipo icase wako mkoa tofauti. nahitaji vijana kwanzia wawili mpaka wanne
Ungeweka na Bei Utakayowalipa!
Sio unaandika tangazo tu ili mradi!!"
tpmazembe, namimi nalima huko handeni Komkonga. Nakabiliwa na tatizo la nguvukazi pia, kama unavyojua ilivyo vigumu kuwapata wenyeji na ukizingatia na hali ya mvua inavyonyesha sasa inakuwa ngumu kuwashawishi wakubali kuingia shambani. Labda tushirikiane tu kutafuta watu wa mikoani kama ulivyoamua tayari, ila nadhani namna nzuri ya kuwalipa ni kwa kipimo cha kazi. Mfano mimi pale nimekuwa nalipa 60,000/= kwa kila ekari moja inayofyekwa na kulimwa (Bado ni pori sehemu kubwa). Cha kufanya ni kuwatengenezea kambi hukohuko shambani, gharama za chakula ni sehemu ya malipo ya kazi yao. Kilimo kikiisha wanarudi kwao kupumzika hadi utakapowahitaji tena. Challenge kubwa ni namna ya kuwapata, tuwasiliane kwa pm tushirikiane kuwapata kwa wingi!Kwa mwezi nitawalipa elfu 50 , alafu nitawaa chakula na malazi na mavazi, na matibabu kwa magonjwa yasiyo ya muda mrefu, kama homa,malaria nitahudumia.
tpmazembe, namimi nalima huko handeni Komkonga. Nakabiliwa na tatizo la nguvukazi pia, kama unavyojua ilivyo vigumu kuwapata wenyeji na ukizingatia na hali ya mvua inavyonyesha sasa inakuwa ngumu kuwashawishi wakubali kuingia shambani. Labda tushirikiane tu kutafuta watu wa mikoani kama ulivyoamua tayari, ila nadhani namna nzuri ya kuwalipa ni kwa kipimo cha kazi. Mfano mimi pale nimekuwa nalipa 60,000/= kwa kila ekari moja inayofyekwa na kulimwa (Bado ni pori sehemu kubwa). Cha kufanya ni kuwatengenezea kambi hukohuko shambani, gharama za chakula ni sehemu ya malipo ya kazi yao. Kilimo kikiisha wanarudi kwao kupumzika hadi utakapowahitaji tena. Challenge kubwa ni namna ya kuwapata, tuwasiliane kwa pm tushirikiane kuwapata kwa wingi!
Waweza pata wagogo/wakagulu kutoka Dodoma.
Kazi hiyo ya kufanya muda na kuondoka ina wafaa. Huwa hawawezi kukaa muda mrefu. Pamoja na huduma hizo unazo wapa ni vema uka walipa kwa kipimo cha kazi. kwa mfano kufyeka pori kwa eka,kupalilia kwa eka,etc.
Ni vema kulima kwa tractor. Ngoja nipige simu then nitawajia na information.
Wagogo ndo work force shambani kwangu. Lakini mnahitaji kupata vijana wachache waaminifu kama main stay hapo shamba! Je hakuna wanyama waharibifu? Hakuna wezi? Reason unahitaji some permanent worker!
Kwa mwezi nitawalipa elfu 50 , alafu nitawaa chakula na malazi na mavazi, na matibabu kwa magonjwa yasiyo ya muda mrefu, kama homa,malaria nitahudumia.
mkuu umejipanga vema na hizo gharama. angalia wasije ishia kula na kupumzika. ajira za shamba watu hulipa kwa kazi inayofanyika... nakushauri huko huko tanga endeleea kutafuta utapata vinginevyo utakuwa na gharama kubwa hata faida usije kuiona.
Uko sahihi sana MalafyaleP, itakuwa msaada mkubwa kuwapata wagogo. Kulima kwa tractor ni jambo la maana sana ila sasa kwa shamba linalolimwa kwa mara ya kwanza inakuwa ngumu, inabidi tu kutumia watu kwanza ili liwe safi halafu misimu inayofuata tractor linaweza kutumika. Main stay ni muhimu japo mmoja wa uhakika, mie nilimpata!
Ukifanikisha mawasiliano na wagogo usitusahau mkuu!
tpmazembe, namimi nalima huko handeni Komkonga. Nakabiliwa na tatizo la nguvukazi pia, kama unavyojua ilivyo vigumu kuwapata wenyeji na ukizingatia na hali ya mvua inavyonyesha sasa inakuwa ngumu kuwashawishi wakubali kuingia shambani. Labda tushirikiane tu kutafuta watu wa mikoani kama ulivyoamua tayari, ila nadhani namna nzuri ya kuwalipa ni kwa kipimo cha kazi. Mfano mimi pale nimekuwa nalipa 60,000/= kwa kila ekari moja inayofyekwa na kulimwa (Bado ni pori sehemu kubwa). Cha kufanya ni kuwatengenezea kambi hukohuko shambani, gharama za chakula ni sehemu ya malipo ya kazi yao. Kilimo kikiisha wanarudi kwao kupumzika hadi utakapowahitaji tena. Challenge kubwa ni namna ya kuwapata, tuwasiliane kwa pm tushirikiane kuwapata kwa wingi!
hili jambo la nguvu kazi tungeomba lifanyiwe utafiti,mimi pia ni mkulima lakini toka kushamiri kwa shule za kata nguvu kazi mashambani hakuna;si kwamba napinga elimu,la hasha,naomba wataalamu watusaidie hapa tufanye nini....
asume ungekuwa wewe kwenye hiyo positioni ya kufanya kazi ya shamba halafu unalipwa elfu 50 kwa mwezi yaani siku 30 in short 50/30=1666.67 kwa siku halafu huko ukawe unamlisha ugari na maharage plus na nyama mara moja kwa mwezi plus matusi kibao si unyoyaji huu,hiyo elfu hamsini is nothing kw kweli si ni bora mtu akae kwao alime mashamba yao manaake.hivi ulidhani mtu aliyesema ni heli ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia kwenye ufalme wa mbingu unafikiri alikosea, achen unyonyaji huo kwa nini usichuke wadogo zako ukawalimishe halafu uwalipe hiyo hela,yaani uanze tu kuchukua watoto wa wenzio halafu ukawaimishe weeeee then uwape hela ya chai hiyo shit, na ulaaniwe na naomba mungu usianikiwe katika hili Amen. caution USIUTUMIE UMASIKINI WA MTU KAMA OPPORTUNITY
acha ubepari na ubwenyenye..fanya kazi mwenyewe
Trekta ni mkombozi kwa sehemu yenye matatizo ya nguvu kazi.
Asante kwa mchango wako wa mawazo mkuu, gharama ya wastani kulima ekari moja kwa tractor ni 40,000/= . Shamba jipya ni ngumu kutumia tractor, option kusafisha kwanza kwa mikono ambapo bei ndo hiyo inakuwa 60,000/= kwa ekari moja. Pengine kwako hiyo ni pesa ndogo sana ila ni muhimu kutambua kuwa unapofanya biashara faida inategemea sana gharama za uzalishaji, na hiyo 60,000/= nayo imepatikana kwa kazi ngumu na kujibana vilevile. Jamaa kamjibu aliesema atalipa elf 50 kwa Mwezi