Nyam
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 134
- 72
Wapendwa wana JF,
Mimi ni mdada mjasiliamali mdogo, natafuta vijana wa kuniuzia dagaa zangu za kukaanga natoa Mwanza naleta Dar, nimezipack na kuzibland vizuri, ntawalipa kwa commission nzuri tu...
Ili mradi bidhaa zangu ziuzike, nawatamani sana wale vijana wanaoweza kuuza barabarani kwenye foleni...
Kama unamfahamu mtu yeyote anayeweza hii kazi tafadhali nicheki...
Asanteni wote...