Nipe wassap namba yako tuyajengeWapendwa wana JF,
Mimi ni mdada mjasiliamali mdogo, natafuta vijana wa kuniuzia dagaa zangu za kukaanga natoa Mwanza naleta Dar, nimezipack na kuzibland vizuri, ntawalipa kwa commission nzuri tu...
Ili mradi bidhaa zangu ziuzike, nawatamani sana wale vijana wanaoweza kuuza barabarani kwenye foleni...
Kama unamfahamu mtu yeyote anayeweza hii kazi tafadhali nicheki...
Asanteni wote...
Naomba mrejesho wa QNET. Tangu 2017 uliamini wewe ni next millionaire. Hadi sasa 2021, unatfa kuuza dagaa? Hujaanza kuvuna toka QNET? Ulisema hata ukifa wanao wataendelea kupata pesa tu za QNETWapendwa wana JF,
Mimi ni mdada mjasiliamali mdogo, natafuta vijana wa kuniuzia dagaa zangu za kukaanga natoa Mwanza naleta Dar, nimezipack na kuzibland vizuri, ntawalipa kwa commission nzuri tu...
Ili mradi bidhaa zangu ziuzike, nawatamani sana wale vijana wanaoweza kuuza barabarani kwenye foleni...
Kama unamfahamu mtu yeyote anayeweza hii kazi tafadhali nicheki...
Asanteni wote...
Angalia usitapeliwe. Karibu Dar.Wapendwa wana JF,
Mimi ni mdada mjasiliamali mdogo, natafuta vijana wa kuniuzia dagaa zangu za kukaanga natoa Mwanza naleta Dar, nimezipack na kuzibland vizuri, ntawalipa kwa commission nzuri tu...
Ili mradi bidhaa zangu ziuzike, nawatamani sana wale vijana wanaoweza kuuza barabarani kwenye foleni...
Kama unamfahamu mtu yeyote anayeweza hii kazi tafadhali nicheki...
Asanteni wote...
Hahahahah daah aisee hatari sana.Naomba mrejesho wa QNET. Tangu 2017 uliamini wewe ni next millionaire. Hadi sasa 2021, unatfa kuuza dagaa? Hujaanza kuvuna toka QNET? Ulisema hata ukifa wanao wataendelea kupata pesa tu za QNET
Nadubiri jibu lake huyu mrembo. 2017 aliisifia sana. Nashangaa anauza ma dagaa toka mwanza. Zile salam zao za good morning millionaire zitakuwa hazijsmuinuaHahahahah daah aisee hatari sana.
Kuna jamaa alinishawishi sana kujiunga Qnet mwaka juzi kama niliotea vile..........Nadubiri jibu lake huyu mrembo. 2017 aliisifia sana. Nashangaa anauza ma dagaa toka mwanza. Zile salam zao za good morning millionaire zitakuwa hazijsmuinua
Ungejiunga huko afu ukitoka huko unaungwa tena na kwa Mr. Kuku.Kuna jamaa alinishawishi sana kujiunga Qnet mwaka juzi kama niliotea vile..........