spangwingwi
Member
- Mar 1, 2024
- 30
- 34
Nitafute tufanye kazi, mimi niko mkoani naweza kuongea naww ntukafanya baishara ya moja kwa moja, yani ukaniuzia namimi nokauza huku .Kama kichwa Cha habari kinavojieleza ukiwa ni kijana njoo tufanyie kazi. Mimi napoint viatu karume na mashati ya kiume na Sasa natafuta mtu ambaye anachukua mzigo kwangu anauza faida tunagawana nusu kwa nusu. Ishu hapa huhitaji mtaji ila inahitaji uaminifu na moyo wa kufanya kazi kutafuta wateja.
Nipo kinondoni Dar es salaam
Mbona hata hapa unaweza tembeza na ukauza mkuu, JF ni dude kubwa inawafikia wowote....binafsi ninahitaji bidhaa zako, njoo inbox kiatu navaa 42, shati navaa M au Small inategemea na nikato. Lete maneno!!Kama kichwa Cha habari kinavojieleza ukiwa ni kijana njoo tufanyie kazi. Mimi napoint viatu karume na mashati ya kiume na Sasa natafuta mtu ambaye anachukua mzigo kwangu anauza faida tunagawana nusu kwa nusu. Ishu hapa huhitaji mtaji ila inahitaji uaminifu na moyo wa kufanya kazi kutafuta wateja.
Nipo kinondoni Dar es salaam
πππ ephen_ umecheka πππAcha mawazo ya kuwatumikisha watoto wa watu kwa kisingizio cha kugawana faida. Weka hivyo viatu na mashati hapa ili tukuungishe.
Naunga mkono hoja mkuuAcha mawazo ya kuwatumikisha watoto wa watu kwa kisingizio cha kugawana faida. Weka hivyo viatu na mashati hapa ili tukuungishe.