Habari.
Nahitaji Volunteers 20 wenye taaluma ya Clinical medicine (8), nursing (7) na physiotherapy (5) wa hapa Dar es salaam ngazi ya diploma kusaidia shughuli ya upimaji kwa watu wenye uhitaji maalum., Wanafunzi wa NTA level 5/6 pia wanaruhusiwa
Usaidizi huo utaambatana na posho ndogo ya siku (25,000), ni zoezi la masaa 4/5
Tuna uthibitisho wa taaluma yako kwa whatsapp namba 0748
501973 kabla ya tarehe 11/08/2023