Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Watoto mtaniambia nini??Punguza punguza tumiaka basi[emoji102]
Nimekumiss??Okay nakuja PM miss wala usiwe na shaka.
Uzi ufutwe.
Samahani mkuuWatoto mtaniambia nini??
Pole toto zuriSamahani mkuu
Acha kupoa komalia dodo hilo..😀Samahani mkuu
Umeniuliza kama umenimiss au umeniambia kuwa umenimiss?Nimekumiss??
Uzee huuUmeniuliza kama umenimiss au umeniambia kuwa umenimiss?
Ulienda wapi?Uzee huu
Nimekuambia baby
Are you a teacher??Mimi hapa mom,tusimliane namna viboko kwa wanafunz vinavyohamasisha usomaji
Niko tuUlienda wapi?
Nicheki basi PM tuliwazane.Niko tu
Yes mom,of primary schoolAre you a teacher??
Mkuu, punguza miezi kidogo. I'm below 40Sina usingizi natafuta marafiki wa kuchat nao
Wanaume au wanawake walio single
Age 40 to 100
Kwa week hii tu lakini
Kama unaitaji ushauri wa maisha,biashara,kiroho,kimahusiano.niko free kusaidia 24/7