Natafuta wa kuchat nae

Natafuta wa kuchat nae

Mkuu, punguza miezi kidogo. I'm below 40
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Wewe nenda tu mkuu, kwani anawaComfirm kwa Cabon 14 method 😂😂😂
 
Sina usingizi natafuta marafiki wa kuchat nao
Wanaume au wanawake walio single
Age 40 to 100
Kwa week hii tu lakini
Kama unaitaji ushauri wa maisha,biashara,kiroho,kimahusiano.niko free kusaidia 24/7
Bwana wako akisafirigi unakujaga kutafta mtu wa kuchat nae akiwepo aah wala huna habari na sisi😅pambana na hali yako
 
Nafuta demu wa kumliwaza kimwili ila sitaki anigande nikupeana raha tu siyo wakunifanya ATM
Demu huyo utampata akiwa na miaka 45 au zaidi😅 pambana bro! Wa 30 or below ngumu kupata ambaye hajaathirika🤩
 
Nilifikili unatafuta mtu wa ku cheat nae nikaja mbio kumbe nimesoma hovyo
 
Back
Top Bottom