Natafuta wa kumroga

Natafuta wa kumroga

mkuu mwanyasi nashukuru,unachokitafuta utakipata.
 
kizibo1 utanitambua,wewe nakutwanga na mzebelele!umenikashfu!
 
multiphill90,VANESA MDEE ndio nani?ni mchawi mwenzangu au mganga?
 
Nasikia wachawi wengi humu,sasa mimi namtafuta wa kumroga.Chonde chonde wakuu nina mzigo mpya toka kusini nataka kuujaribu.....tusaidiane.Ni hilo tu.
Dah.... Hapo hata mwaka hajafikisha mnaweweseka hivi... Akiendelea kukaza hivi baada ya miaka 5 kutakuwa na hospital za machizi Sawa na idadi ya baa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom