Natafuta wa kunipoza machungu niliyonayo

well mkristo mtafute Yesu ndio mfariji wa wapweke na wenye maumivu la sivyo utaumizwa sana dada yangu
jambo jema sana unegundua mapema ni kusudio la Mungu hebu huo upendo unaotaka kumpa mtu mwingine tena hebu Mpe Mungu 100% kila jambo litafanikiwa
stay blessed
 
Hakuna!.....Mimi naishi mwenyewe huwa siwezi kuishi/kukaa na mtu yeyote katika mapenzi au undugu hata kwa muda wa dakika moja,huwa nahisi ninaweza nikacommit murdering halafu maisha yangu yakachange from bad to worse!!
Hizo hisia zako zina matatizo....zinasababisha uishi kwa kuhisi hivyo!
 
Kwa imani utapata hitaji LA moyo wako,ila amini au us is mini uwiano kati ya Me na Ke kwa sasa tofauti ni kubwa sana coz Ke mko wengi zaidi,sasa kupata Me single ni neema tu ila 80%kila mmoja ana wake,sasa ukishalijua hilo basi share na wenzio maana muda wa kuwa na wako peke yako umeshapita,,,OK karibu mm naelekea kisarawe mala moja nitarudi
 
Mi nahitaji kuja pm ila hiyo foleni na jam nadhan itakuwa kubwa ila mi ni muislam sifa mojawapo ishanishinda
 
Pole ina maamuz ulyofanya n magum unapaswa ufanye maamuz ya busara. Angalia ucje ishia kutendwa tena kwa mara ya pili
 
mi niko tayari
njia ya pm siijui nitumie direction niite ubber fastaaaaaaa
 
hv we ni mlokole wa wapi?
kanisa gani hilo lilikufundisha utafute mchumba JF! omba Mungu upate mchumba sahihi, najua hizo ni stress kuwa mpole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…