Natafuta wa kunipoza machungu niliyonayo

Natafuta wa kunipoza machungu niliyonayo

introvert70

Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
7
Reaction score
27
Jamani wana JF,

Mimi ni mara yangu ya kwanza kuleta mchango humu ndani kutokanna na upya wangu katika majukwaa haya.

Ni mwanamke wa miaka 28. Ni mwezi wa sita sasa sina uhusiano kutokana na uhusiano niliodumu nao miaka mi nne kutoweka ni swala lililoniletea msongo sana wa mawazo sababu sikua na mtu mwingine.

Ndio kutoweka sababu niligundua nimpendae ana mtu mwingine kwa kipindi cha miaka 15 sasa. Kwahiyo wakati naingia walikua wamegombana wakaamua kurudiana mwaka jana mwezi wa nne.

Nilipogundua tu sikuweza kuvumilia tena sababu uyo dada amekua karibu sana na aliekua mpenzi wangu either aliekua mpenzi wangu alishindwa kubalance kwa kuonesha dharau tofauti na alivyokua.

Lengo la kuja humu ni kutafuta mtu alie serious na mahusiano alie single kama mimi, mkristo hata kama hajaokoka tuweze kuliwazana na Mungu akipenda tuwe familia moja hapo mbeleni.

Naomba kuwasilisha.

Aliye tayari anipm.
 
Back
Top Bottom