Natafuta wa kunisaidia mkopo

Ila uwe makini na kondoo wa JF wengine ni kama uzuri wa mkakasi...!!!
 
Huwa nagombana na dadangu kwa ajili hii. Eti anaanza tu naomba milioni! Nauliza maswali utadhani ile benki inayochukuaga makochi na masufuria teh teh.

mie hata uniombe elfu kumi, lazma nijiridhishe hehehe. Afu sasa ndo Nyani Ngabu awe house husband wangu?
hivi mtu akishasema ana shida mnataka ajieleze vipi!!! kwa wanaoweza kumsaidia na wafanye hivo sio mpaka kumchimba mtu kiasi hicho na mwisho muishie kumkejeli bila msaada wowote.
 
Last edited by a moderator:

hahahaha!!!! wew una gubu kulea house housb huwezi. mie staki maswali. kama huwez kumpa unamwambia tu huna. kuna mzee nuksi, akiombwa hela ya viatu vya shule na watoto anataka aletewe alivyokuwa anavaa avithaminishe kwanza kama kweli kuna umuhimu wa kununua vipya.
 
Last edited by a moderator:
hivi mtu akishasema ana shida mnataka ajieleze vipi!!! kwa wanaoweza kumsaidia na wafanye hivo sio mpaka kumchimba mtu kiasi hicho na mwisho muishie kumkejeli bila msaada wowote.
kweli kabisa na asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…