L luke726 New Member Joined Jun 19, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Jul 4, 2013 #1 jaman sihitaj kuongeA sana, me mtoto wa kiume, mchumba natafta mdada awe 20 yrs
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,603 Reaction score 13,654 Jul 4, 2013 #2 mmh hapo kwenye miaka ndo tutashindwa, humu jf wengi tumeshajilia chumvi nyingi, labda ungeenda facebook. kiroho safi
mmh hapo kwenye miaka ndo tutashindwa, humu jf wengi tumeshajilia chumvi nyingi, labda ungeenda facebook. kiroho safi
S snail JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 462 Reaction score 142 Jul 4, 2013 #3 Huyu katumwa na babu co bure! yaan 20yrs tu hakuna zaidi wa pungufu! mbona wenzio walopita humu wanasemaga kat ya miaka fulan hadi flna vp ww wataka 20 kamilo?
Huyu katumwa na babu co bure! yaan 20yrs tu hakuna zaidi wa pungufu! mbona wenzio walopita humu wanasemaga kat ya miaka fulan hadi flna vp ww wataka 20 kamilo?
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jul 4, 2013 #4 Acha watoto wasome asee!!!!!!!