ENEO LA KAZI MBEYA
KAZI KUTAFUTA NA KUANDAA HABARI
VOICE OVER,NK
MSHAHARA MAKUBALIANO YETU
tUma cv yako pamoja na vyeti vya taaluma josefevafeva@gmail.com
Nimongeza Muda wa Kuomba tena,
Hata kama Upo kwenye Chombo kingine ila uko mbeya unaweza kuwa Reporter tuma maombi yako chap wanahitajika wawili tu. deadline 26/8/2025