Natafuta wadada wa hiari wengi iwezekanavyo...!

mjasilia

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
594
Reaction score
172
Jamani niseme wazi kuhusu ukweli wangu, tangia nikiwa nursery nilikuwa sipendi kuwa na marafiki wa kike, mpaka namaliza chuo sikuwa na rafiki wa kike ata mmoja zaidi ya girlfriend wangu, mtazamo wangu huu nimekuja kugundua kuwa si sahihi, nimekuwa na marafiki wengi wa kiume lakini sijaona msaada wao hasa kimawazo zaidi ya kuwa kichecheo cha kutenda ndivyo sivyo jamii inavyotegemea, sasa nimejaribu kubadili mwelekeo kuwa na marafiki wengi wa kike hasa kushauriana kwa mambo ya kimaendeleo na si vinginevyo...! nawakaribisha sana...sina maana mabya kwa ndugu zangu vidume sikwamba wote ni immoral la..! ila naomba nione vipi kuwa na marafiki wa kike maana siku zote wamekuwa wanadai wanaweza ngoja nione uwezo wao....! asanteni naomba kuwasilisha ANGALIZO nataka wadada smart kuanzia nje hadi kichwani kama wewe ujiwezi usijaribu sawa.!

INTERESTED IN PM......!
 
Mmmmmh..!!
 
aiseeee wewe una hitaji mmoja tuu bila shaka
 
ha ha ha mkuu umeona eeee?
teh teh teh teh halafu kaanza eti ana girlfriend
teh teh
akamalizia wadada smart as teh teh teh
which i doudbt kama yeye ni
Sustainable
Measurable
Attainable
Reliability
Time
 
Anawataka wajitokeze ili afanye Ana ana ana do kupata mmoja (utani) .....aka mie niko smart sana tu ila sijitokezi kwani nitakuoveride kimawazo. Niko mbali na wewe maili 60,000, upo hapo?
 
siku mwoga wa ugomvi hakosi kisingizio, utasikia mara leosiko vizuri, mara ashuru ingekuwa enzi zangu aliyekwambia kuna mtu anakosa enzi ni nani?
Anawataka wajitokeze ili afanye Ana ana ana do kupata mmoja (utani) .....aka mie niko smart sana tu ila sijitokezi kwani nitakuoveride kimawazo. Niko mbali na wewe maili 60,000, upo hapo?
 
ha ha ha mkuu umeona eeee?
teh teh teh teh halafu kaanza eti ana girlfriend
teh teh
akamalizia wadada smart as teh teh teh
which i doudbt kama yeye ni
Sustainable
Measurable
Attainable
Reliability
Time
smart objectives
 
Back
Top Bottom